jnnk
0
kanda
0
vyama vya kitume
0
vigango
0

Kuhusu Sisi

Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga Usa River ilianzishwa mnamo mwaka 1975 chini ya mapadre wa shirika la Roho Mtakatifu ikiwa na vigango 9 ikihudumia jamii ya Usa River na maeneo jirani. Vigango hivyo ni Mbuguni, Shambarai, Mererani, Valeska na Maji ya Chai. Kati ya vigango hivyo, vigango vine vimekuwa parokia. Vigango vilivyokuwa parokia ni Mbuguni, Kikatiti, Mererani, Ngurdoto na Maji ya Chai.

1976

Parokia ilianza

Ujumbe wa Pasaka 2026

"Urbi et Orbi"

Katika ujumbe wake wa "Urbi et Orbi" kwa Sherehe ya Pasaka tarehe 5 Aprili 2026, Baba Mtakatifu Leo XIV amesisitiza kuwa Ufufuko wa Kristo ni ushindi wa Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo, akibainisha kuwa nguvu ya upendo wa Mungu ndiyo chemchemi pekee ya amani ya kweli inayoweza kukomboa ulimwengu kutoka katika lindi la dhambi na mauti.

Tuishi pamoja kwa Upendo

Jiunge Nasi Tusali Pamoja

Familia inayoishi pamoja katika upendo, ushirikiano na mafundisho ya Kikristo kupitia Kanisa Katoliki inayotawaliwa na Neema ya Mungu na kuwajibika katika Kristo wa ubatizo wetu.